Psalms 92:12-14


12 aWenye haki watastawi kama mtende,
watakuwa kama mwerezi wa Lebanoni,
13 bwaliopandwa katika nyumba ya Bwana,
watastawi katika nyua za Mungu wetu.
14 cWakati wa uzee watakuwa bado wanazaa matunda,
watakuwa wabichi tena wamejaa nguvu,
Copyright information for SwhNEN